8/11/2020

PICHA: Prof.Ibrahim Lipumba Akabidhiwa Fomu za Kugombea Urais wa Tanzania na Tume ya Taifa ya Uchaguzi NECMwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  NEC, Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa Chama cha Wananchi CUF, Prof.Ibrahim Lipumba aliyeambatana na Mgombea Mwenza, Hamida Abdallah Huaeshi katika Ofisi za NEC,Njedengwa Dodoma leo. 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger