Picha za Anerlisa Muigai Bila Pete ya Harusi zaibuka..Baada ya Kudaiwa Kuachana na BEN Pol

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Anerlisa Muigai na msanii wa nyimbo za bongo Ben Pol awalifunga pingu za maisha mwaka jana kwa njia ya harusi ya jadi, huku mwaka huu Juni wakikiri upendo wao na kufunga pingu za maisha kwa harusi ya kanisani.

Hafla hiyo ili hudhuriwa na familia na marafiki wa wandoa hao wawili, wanamitandao walichoona baada ya Ben Pol kumpozea ni pete.

Wikendi hii Anerlisa aliacha kumfuata mumewe kwenye mitandao ya kijamii huku akifuta picha zake kwenye mitandao yake.

Hizi hapa baadhi ya picha za Anerlisa akiwa amevalia pete na amabazo hajavalia pete, lakini cha mno ambacho wanamitandao wamebaki kuulizana je kunaa ni?

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad