8/29/2020

Picha za MKE wa Mwigizaji wa Black Panther Chadwick Boseman Aliyefariki Kwa Ugonjwa wa CancerMuigizaji   Chadwick Boseman  aliyetambulika kwa filamu ya Black Panther  amemuacha mjane   Simone Taylord ambaye bila shaka ni miongoni mwa waliokwazika pakubwa na kifo cha Staa huyo siku ya ijumaa . Simone ambaye ni mwimbaji  amekuwa ubavuni mwa Chadwick  katika hafla kadhaa  na pia wamekuwa wakionekanwakitembea pamoja .

Tazama risala za rambi rambi za watu mashuhuri kufuatia kifo cha staa wa Black Panther Chadwick Boseman

Kinyume na mume wake anayefahamika sana na wengi kwa sababu ya kazi yake na mengi hayajulikani kumhusu  na ni mwaka wa 2018 ilipothibitishwa kwamba wapo katika uhusiano . wawili hao walijuana mwaka wa 2015
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger