8/19/2020

Polisi aliyeonekana akimnyonga mwanaume achunguzwaAfisa wa polisi katika eneo la West Yoekshire nchini Uingereza anachunguzwa baada ya kupatikana kwa video inayoonesha akimsukuma chini mwanaumehuku akisema "tulia au nikuue".
Video hiyo inaonesha afisa huyo wa polisi alimpiga mweleka mwanaume huyo na kumkamiza chini ardhini na silaha shingoni.
Mwanaume huyo alionekana akigaragazwa sakafuni huku akisema "Basi nimeacha " kabla ya kuambia wan a polisi"geuka sasa " wakati polisi mwingine akisaidia kumshikilia.
Picha hizo kutoka Halifax ilisambazwa sana kwenye mitandao ya kijamii.
Polisiya West Yorkshire imesema afisa huyo amesimamishwa kazi na tukio hilo limeripotiwa kwenye taasisi inayochunguza minendo ya polisi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger