8/16/2020

Rais Magufuli Alivyopiga Simu Uwanja wa Uhuru, Azungumza na WatanzaniaNI Agosti 15, 2020 ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amepiga simu uwanja wa Uhuru kuzungumza na watanzania waliofika kushuhudia burudani inayoendelea muda huu.

Rais Magufuli alisikika akisema ‘Kwakweli nimefurahi sana kwa wasanii na watanzania waliofika kushuhudia burudani, nilikuwa natamani na mimi ningekuwepo kwakweli hongereni sana, nilikuwa nasikiliza kila nyimbo kwakweli CCM ni baba lao’- Rais Dkt John Pombe Magufuli

Unaweza ukabonyeza play kuitazama hii video ujionee Rais Magufuli alivyopiga Simu uwanja wa Uhuru
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger