8/29/2020

Rais Magufuli 'Mwinyi ni Kiongozi Mzuri Hana Jazba Amesimamia Mizinga na Mabomu Hajawahi Amrisha Vipige Watu'

Leo Katika Uzinduzi Wa Kampeni Wa Chama Cha Mapindizi Dodoma

“Mwinyi amekuwa Waziri wa Ulinzi kwa miaka 10, amesimamia mizinga, mabomu, vifaru ila hajawahi kuamrisha hata siku moja vikapige Watu, ni Kiongozi mzuri hana jaziba, ndio maana nawaomba Zanzibar mpeni kura zenu, nipeni na mimi kura, msije kusema tumeshinda bila kupiga kura” Rais MAGUFULI
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger