8/19/2020

Rapper Frida Amani Afunguka Kuacha Utangazaji

Moja kati ya maswali ambayo yamekuwa mengi kitaa kumuhusu @fridaamaniofficial ni pamoja na hili la kuacha utangazaji! Ikiwa ni baada ya ukimya wa sauti yake kutawala kwenye media aliokuwa akiifanyia kazi kama mtangazaji.

Majibu ya Frida ni kuwa hajaacha utangazaji bali amepumzika na tegemea kukutana nae kwenye media any time soon kuanzia sasa.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger