8/12/2020

Rasmi Yanga Yamsajili Farid Kwa Miaka MiwiliYanga SC imetangaza rasmi leo Agosti 12, 2020 kukamilisha usajili wa winga wa Kimataifa wa Tanzania, Faridi Mussa Shaha kwa mkataba wa miaka miwili akiwa mchezaji huru kutoka Club Deportivo Tenerife ya Hispania.


Usajili huo wa Mussa sasa unamfanya kuwa nyota wa nane kusajiliwa na Yanga msimu huu akitanguliwa na kiungo Zawadi Mauya (Kagera Sugar), mabeki Bakari Mwamnyeto (Coastal Union), Yassin Mustapha (Polisi Tanzania).


Wengine ni mabeki Kibwana Shomari (Mtibwa Sugar), Abdallah Shaibu (Ninja), washambuliaji Waziri Junior (Mbao) na Yacouba Sogne (Asante Kotoko) huku kiungo Feisal Salum naye akiongezewa mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger