8/11/2020

Rekodi Aliyovunja Boss wa Facebook Kwa Watu Wenye Umri Mdogo


Mkurugenzi wa Mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg mwenye miaka 36 amekuwa mtu wa tatu duniani na mtu mwenye umri mdogo zaidi utajiri wake kuvuka Dola Billioni 100.

Miaka 16 tangu alivyouanzisha mtandao wa ‘Facebook’ akiwa shuleni, Mark Zuckerberg anaungana na mwanzilishi wa Amazon, Jeff Bezos na Mwanzilishi wa Microsoft, Bill Gates kwenye Centibillionaire Club.

Utajiri wa Mark Zuckerberg unatajwa kuongezeka baada ya Instagram kuanzisha feature mpya ya Reels ambayo inahuduma kama za mtandao wa Tik-Tok ambao upo hatiani kufungwa nchini Marekani.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger