8/07/2020

Rich Mavoko Afunguka Kuhusu Ujio Wake Mpya....Huu Hapa Muonekano wake Mpya


"Watu wanajua ufanyaji wangu wa kazi, naamini sana kitu ambacho nafanya sipendi nikipambe hadi nimwogopeshe mtu watu watainjoi muziki mzuri na 'minitape' hakuna wimbo wowote unaofanana na mwenzake kila wimbo una taste ya kitofauti" .. Ameyasema hayo RICH MAVOKO
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger