8/09/2020

Rich Mavoko Afunguka Kusainiwa na Harmonize, Nilishangaa Sana Kuona Ameandika vile Hata Hakunipigia Simu (+Video)


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @tic hmavoko amefunguka kuhusu zile stori za kusainiwa na @harmonize_tz katika lebo ya @kondegang. Mavoko ameeleza kuwa yeye alishangaa kuona hizo habari mtandaoni huenda @harmonize_tz alijisikia kuandika tu maana ni mtu ambaye tangu zamani alikuwa rafiki yake hata wakati yupo WCB.

Mbali na hilo @richmavoko amezungumzia kuhusu kutumia akaunti yake ya Rich mavoko ambayo iliaminika ipo chini ya WCB na kuhusu kutumia nyimbo alizofanya chini ya @diamondplatnumz

 VIDEO:
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger