8/01/2020

Rich Mavoko atangaza balaa baada ya kukaa kimya mwaka mmoja, Nimewamis sana watu wangu


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Rich Mavokoametangaza ujio wake mpya baad aya kukaa kimya kwa takribani miezi kumi (10) baada ya kuachia ngoma ya Babilon.


Ikumbukwe Mavoko kukaa kimya kwake huku inaelezwa alikuwa jikoni akiandaa ngoma ambazo inaelezwa zitakuja kuonyesha mabadiliko makubwa sana kwenye muziki na hasa kwake Ric Mavoko.


Mavoko amekaa kimya kwa takribani mwaka mmoja, kama wewe ni shabiki na mfuatiliaji mzuri wa muziki wa Mavoko utaungana na mimi kuwa kupitia Instagram yake mara ya mwisho alipost tarehe kama ya leo yaani tarehe moja mwezi wa nane kwa 2019, na leo ametangaza ujio wake tarehe ile ile yaani tarehe moja mwezi wa nane 2020.

Mavoko ametangaza kuja na Mintape yaani mfano wa EP yenye nyimbo chache.


Verified


I MISSED ALL MY PEOPLE
Just keep the date on your mind.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger