Rich Mavoko "Sitaki kuwaogopesha watu"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Staa wa muziki nchini, Rich Mavoko amesema kuwa mashabiki wake wanajua uwezo wake, hivyo hawezi kuipamba sana "Minitape" yake hadi kufikia hatua ya kuwaogopesha.


Akiongea kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV, Asubuhi hii, Mavoko amesema, “Watu wanajua ufanyaji wangu wa kazi, naamini sana kitu ambacho nafanya sipendi nikipambe hadi nimwogopeshe mtu watu watainjoi muziki mzuri na ‘minitape’ hakuna wimbo wowote unaofanana na mwenzake kila wimbo una taste ya kitofauti”.

Usiku wa leo Rich Mavoko anazindua RASMI na kuiachia "Minitape" yake yenye jumla ya nyimbo nane baada ya ukimya wake wa muda mrefu kwenye kiwanda cha muziki. Uzinduzi huu utafanyika Hyatt Kilimanjaro.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad