8/12/2020

Rick Ross Autoa Mjengo wake kwa Kanye West Utumike kwa ajili ya ibadaRick Ross ameutoa mjengo wake utumike kwa ajili ya ibada ambazo Kanye West huwa anazifanya kila jumapili.


Kufuatia mlipuko wa ugonjwa Corona shughuli nyingi zimesimama ikiwemo huduma ya "Sunday Service" ambayo #KanyeWest alikuwa anaitoa kila siku ya jumapili, Ila inaonekana @richforever yupo tayari kufanya chochote ili kuirudisha, Kupitia mtandao wa Twitter ameandika "Mwambieni Ye aje kufanya ibada ya jumapili kwenye mjengo wangu"Mjengo huo wa kifahari wa Rick Ross pia umetumika kwenye filamu ya pili ya 'Coming To America'
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger