8/12/2020

Sakata la Morrison: Simba waitisha kikao, Yanga kukata rufaa Mahakama ya KimataifaMabingwa wa Nchi, Simba SC imetangaza kufanya mkutano na waandishi wa habari hapo kesho siku ya Alhamisi wakati huo huo majirani zao Yanga SC imetangaza kutoridhishwa na maamuzi yaliyofanywa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya shirikisho la soka nchini TFF.


Katika taarifa hiyo Yanga imesema kuwa Uongozi unakusudia kukata RUFAA katika Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) mara baada ya kupata nakala ya hukumu kutoka Kamati husika.


Hata hivyo Uongozi wa Yanga umewataka wanachama na wapenzi wawe watulivu na kuendelea kushirikiana na Uongozi katika maeneo mbalimbali ya klabu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger