Seven Mosha afunguka kuhusu Alikiba na Daimond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Boss wa Rockstar Africa, Seven Mosha amesema kile kinachoitwa kutokuelewana kwa Alikiba na Diamond, ni kizuri kwa upande wa kibiashara

Seven amefunguka hayo jana kwenye Show ya SalamaNa inayoruka EATV ambapo amesema kwa mawazo yake biashara ni nzuri zaidi kuliko kupatana.

“AliKiba na Diamond ni watu tofauti, Ali anapenda private life. Nikiongea kwa mawazo yangu sio yake nikiangalia kibiashara ushindani ni biashara kuliko kupatana.” amesema Seven.

Katika hatua nyingine alieleza anachokifanya kwa sasa, “Kwa sasa nafanya mambo mengi yatakayotusaidia wote kwenye tasnia ya muziki na wasanii na ninaendelea kujifunza zaidi.”- Seven Mosha

Ikumbukwe Seven alikuwa akimsimamia #Alikiba kimuziki ila kwa sasa amebaki na @ommydimpoz pekee kupitia Lebo yake hiyo.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad