8/15/2020

Shamsa Ampongeza Shilole Baada ya Kusema Ukweli Kuhusu Vipigo


Shamsa Ford  ni miongoni mwa walioalikwa kwenye uzinduzi wa video mpya ya Shilole usiku wa kuamkia leo na amefunguka kuwa ameipenda video hiyo.


Shamsa amempongeza pia Shilole baada ya kusema ukweli kuhusu vipigo alivyowahi kuvipata kutoka Kwa aliyekuwa Mume wake ambapo ameeleza kuwa Shishi alikuwa akimueleza kuhusu matatizo yake na alikuwa akimpa ushauri kwani yeye pia ni miongoni mwa waliopitia maisha hayo.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger