8/22/2020

Shigongo Achukua Fomu ya Ubunge BuchosaKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa, Eric James Shigongo amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika jimbo hilo leo Jumamosi, Agosti 22, 2020 katika ofisi za Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Buchosa, zilizopo Nyehunge, Sengerema.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger