8/15/2020

Shilole aomba radhi sakata lake na Snura



Msanii wa muziki Shilole ameomba radhi kwa wale waliokwazika na kauli yake dhidi ya msanii mwenzake Snura  ambayo aliitoa na kuzua gumzo.


Shilole amedai alikuwa anatoa dukuduku lake na alifanya hivyo ila kama kuna mtu amekwazika basi anaomba msamaha.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger