Shilole "Sijaanza Kupigwa Leo na Mwanaume Nimepigwa Sana Toka Nikiwa na Miaka 18 Nilivyoolewa na Mwanaume wa Kwanza"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



 “Mimi nikiwa Sabasaba nahangaika kwa ajili ya familia yangu na yeye nikampigia simu nikamuuliza mume wangu kuna habari nimesikia kuna dada umezaa nae yuko Africana sijui Africa Sana, akanijibu ndio si hutaki kuzaa na mimi? Niliingia kwenye gari nikalia sana. Nikamaliza biashara yangu nikarudi, nikaingia ndani nikamkuta anacheza playstation, nikamwambia Asalaam Aleykum mume wangu hakuitikia yuko busy anacheza playstation nimelala zangu niliamshwa na ngumi ya sikio, sijakaa sawa nikapigwa ngumi nyingine” - Shilole

"Kupigwa na wanaume sijaanza leo, tangu mwanaume wa kwanza aliyenioa nikiwa na umri wa miaka 18 alikuwa ananinyanyasa na kunipiga sana, ila kipindi hiki cha Uchebe imekuwa 'too much'"
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad