8/28/2020

Si kweli Mzungu ana Akili Kuliko mtu MweusiHivi kwanini watu weusi mnajidharau sana, hivi leo hii ukizaa mtoto wako na ukaanza kumfundisha mzungu ni bora kuliko wewe unamtengenezea future gani, wenda ungempa ujasiri angeweza kuitawala dunia na kuwa prove wrong wazungu, nimesoma comments nyingi kwenye uzi mmoja umeandikwa "je mzungu ana akili kuliko mtu mweusi?" Majibu ya watu wengi yamenisikitisha sana jinsi Waafrika tunavojidharau, kuna kazi kubwa sana ya kubadilisha mitazamo ya waafrika especially watanzania otherwise tutaendelea kutawaliwa, just imagine mzungu anasoma comment zako na unaandika comment za kujishusha thamani tena kwa madaha na kufurahi.

Nahisi hawa ndiyo wakikutana na wazungu wanachekacheka badala ya kuconcetrate kwe conversation na mwisho wa siku wana sign contract ambazo hawazielewi kisa tu kumuona mzungu kama Mungu, na wakati ni watu wa kawaida tu. Na yawezekana kabisa ukawa unamzidi hadi intelligence bila ww kujua kama unamzidi kutokana na imani potofu.

Binafsi nimegundua watu wengi wanajudge akili kutokana na standard za waliowachapa viboko (wazungu).

Kumbukeni utumwa ni coincidence tu, lakini intelligence ya mtu mmoja mmoja ni kitu kingine kabisa, watu weusi wafanya vitu vingi sana lakini dunia haijawahi kuappriciate, why? Na bila shaka hao wote wanaotoa negative comment kuhusu mtu mweusi wapo inferior na mpo weak nyie kama nyie na sio mtu mweusi. Intelligence has nothing to do with colour. Mkienda kusoma na kuspecialize katika psychology mtajua naongelea nini.

Any body can climb to the top amd reach the highest dream of power, colour is nothing but colour.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger