8/15/2020

‘Sitaki Kufichwa Fichwa Kama ARV’s, Nataka Kuolewa, Nipeni Hata Kibabu Ambacho Hakina Meno.’ Akothee


Akothee,  aliyejitangaza kuwa rais wa akina mama wasiokuwa na waume amesema  kwamba mojawapo ya matumaini yake mwaka huu ni kuolewa .

Amesema amechoka na mtindo wa wanaume  ambao hawataki kuhusishwa naye mchana lakini wako tayari kuwa naye  kisiri


‘  Ombi langu mwaka wa 2020 ni kwmba kutakuwa na mtu wa kunishika mkono  hadharani na faraghani  .
. HII MAMBO YA KUFICHWA FICHWA KAMA ARVS SITAKI . nitajitokeza nikutambulishe iwapo hutaki kunitambulisha

 iwapo mwanamume hana fahari kuwa nawe  peupe basi asikuitishe ‘tunda lako’ kisiri ..hatutaki wezi
  wataiba vitu vyako ,moyo ,uhuru  na amani yako  niko hapa tu namngoja huyo mr wrong nimpleke  upande wa right .
 ‘ nimechoka kulala pekee yangu
  Mama  huyo wa watoto  amesema hatochagua na yuko tayari kumkubali mwanamme ambaye hatima itamletea .
  ‘ROHO KAZI YAKO ,WEWE PIGA DAMU, KUPENDA NO KIHEREHERE CHAKO,. UKIUMIA WEWE KANYAGA KUBWA KUBWA
NIPEENI HATA YULE HANA MENO , TUTAMENOPOUSE PAMOJA 
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger