8/03/2020

Snura "Shilole Amenidhalilisha Sana Jana, Natamani Kumuuliza Kwa nini Ananichukia?"Msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura Mushi  amesema amesikitishwa sana na kitendo cha Shilole 'kumnanga' kwenye mkutano wa Girl Power hapo jana. 

Snura ametoa kauli hiyo katika kipindi cha uhondo ndani ya EFM na kusema kitendo kile kilikuwa cha udhalilishaji na chuki dhidi yake huku akisema kwamba Shilole amewahi kufanya hivyo (kumsema hadharani) mara nyingi huko nyuma. 

"Natamani kumuuliza kwa nini ananichukia, kwa nini alitengeneza ile stori wakati mimi sijasema apigwe tu?. " Snuramushi 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger