8/10/2020

SOKA: Simba Yamalizana Na Kinda wa Kenya


Futaa.com South AfricaKwa mujibu wa taarifa kutoka nchini Kenya beki kisiki wa Gor Mahia Josh Onyango amesaini kandarasi ya miaka miwili na klabu Simba Sc

Onyago ambaye aliandika barua ya kuachana na Gor Mahia wiki mbili zilizopita anaelezwa kuwa atatua nchini wakati wowote kuanzia wiki hii

Josh alianza kuwika kwenye soka la Kenya mwaka 2018 na kufanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha Harambe Stars kilichoshiriki michuano ya CAF nchini Misri
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger