8/07/2020

Suzan Mashibe: Rubani Mtanzania Mwanamke Wa Kwanza Kupata Leseni Marekani


Binti mdogo mwenye umri wa miaka minne tu, yupo Uwanja wa Ndege wa Kigoma, Magharibi mwa Tanzania. Pembeni yake, yupo bibi yake, akiwa amemshika mkono. Kwa pamoja, wanaitazama ndege ndogo iliyokuwa inaruka uwanjani hapo kuelekea jijini Dar es Salaam.Ndani ya ndege hiyo, wapo wazazi wa binti huyu mdogo, pamoja na wadogo zake. Moyo wake umejawa na huzuni kwa sababu wazazi wake wanaondoka na kumuacha, anatamani kulia lakini sauti inasikika ndani ya nafsi yake.

“Wamekuacha kwa sababu hujui kuendesha ndege! Unatakiwa kujifunza kuendesha ndege ili siku nyingine wasikuache tena!” Haya ni makala ya Suzan Mashibe, mwanamke wa kwanza Mtanzania kupata leseni ya urubani nchini Marekani na kupiga picha na Rais George W Bush kwa kupongezwa
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger