google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Tanzia: Mwanasiasa mkongwe nchini Hassan Nassor Moyo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo | UDAKU SPECIAL

Tanzia: Mwanasiasa mkongwe nchini Hassan Nassor Moyo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Hassan Nassor Moyo ambaye ni Mwanasiasa mkongwe na mwasisi wa Mapinduzi Zanzibar amefariki usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake mkoani Tanga 

 

Mzee Moyo alikuwa mwanachama wa Chama cha Afro Shirazi (ASP) tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1957 baadaye Februari 5, 1977 akajiunga na chama cha Mapinduzi akiwa na kadi namba 7.


Aidha Mzee Moyo ndiye alikuwa Mratibu Mkuu wa Maridhiano ya Zanzibar ya Novemba 5, 2009 yaliyowakutanisha Rais Mstaafu wa Zanzibar (awamu ya sita), Dk Aman Abeid Karume na Maaalim Seif Sharif Hamad katika kutafuta mbinu ya kuondoa tofauti iliyokuwepo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad