8/11/2020

Tanzia: Rais wa Chama cha Wanamuziki wa Injili Tanzania Dkt. Kisanga Afariki Akienda Kugombea UVCCMRais wa Chama cha Wanamuziki wa Injili Tanzania, Dkt. Donald Kisanga amefariki dunia kwa ajali ya gari Jijini Dodoma alipokuwa akienda kugombea ubunge kupitia Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).

Taarifa

Tanzania Music Foundation inasikitika kutangaza kifo cha Dkt. Donald Kisanga, Rais wa Tanzania Music Foundation kilichotokea leo kwa ajali ya gari alilokua akiendesha Jijini Dodoma.

Mwili wake umehifadhiwa HospitalI Dodoma.

Endelea kufuatilia taarifa za msiba huo zitakuwa zinatolewa mara kwa mara Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la Bwana libarikiwe imetolewa na Stella Joel, Katibu Mkuu wa Tanzania Music Foundation.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger