Tetesi: Bernard Morrison Atajwa Kuibukia Simba...Tutajua Mbichi na Mbivu Leo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga, Bernard Morrison amemalizana na uongozi wa Smba hivyo anaweza kutangazwa muda wwote kuanzia leo Agosti 7.
Habari zinaeleza kuwa Morrison tayari ameshamalizana na Simba kilichobaki kwa sasa ni kutangazwa ndani ya kikosi hicho cha Simba.

'Tayari Simba wamemalizana na Morriosn kilichobaki ni kutanagazwa tu ndani ya kikosi hicho," ilieleza taarifa hiyo.
 Injinia Hersi Said ambaye ni Mkurugenzi wa Uwekezaji ndani ya GSM ambao ni wadhamini wa Yanga amesema:"Inashangaza kwa kuwa bado Morrison ana mkataba na kesi yake bado inaskilizwa, hivyo itakuwa ni ajabu kutangazwa leo najua kamati inafuatilia mambo yaliyop

"Kwa harakaharaka nimegundua kwamba mchezaji ni wetu, nikiangalia naona picha mbaya sana kama mchezaji atasaini na amekuwa na matatizo ya nidhamu kwa muda mrefu, amekuwa akisema kwamba viongozi wa Simba wamekuwa wakimlaghai ili kumpa mkataba hivyo kama atatangazwa leo basi itatoa picha kwamba Simba walikuwa nyuma katika haya," amesema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad