TFF: Morrison Huru Kujiunga na Simba Ila Kupelekwa Kamati ya Maadili Kisa Hichi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Mchezaji Bernard Morrison apewa uhuru wa kujiunga na Simba SC baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kusema mkataba wake na Yanga SC una walakini

Simba ilishasambaza picha za usajili wa Mchezaji huyo raia wa Ghana kutoka, kutokea Yanga

Hata hivyo atapelekwa katika Kamati ya Maadili kwa utovu wa nidhamu, kutokana na kusaini kandarasi na Simba ili hali kesi yake ikiwa bado haijaamuliwa


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad