TID Awalilia CHADEMA kutumia Msemo Wake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii Khalid Mohammed almarufu TID amesema anasikitishwa na kitendo cha msemo wake kutumika kwenye kampeni za kisiasa bila yeye kuhusishwa na kutoa ruhusa ya kutumika kwa msemo huo.

Alizungumza kwenye kipande cha video alichokichapisha kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram amesema ifike wakati kazi za kisanii ziheshimiwe na watu wengine.

“Nimesikitishwa sana kwa kuona kwenye mitandao ya kijamii msemo wangu, ushairi wangu kutumika kwenye kampeni za kisiasa bila makubaliano yoyote na mimi, ninachoomba ni ifike muda usanii wetu utumike vizuri watu wasitumie bila makubaliano na mwenye kazi yake” amesema TID.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad