8/11/2020

Trump aondolewa ghafla na maafisa wa 'Secret Service' baada ya mtu kupigwa risasi karibu na White HouseRais wa Marekani Donald Trump, Jumatatu jioni kwa ghafla aliondolewa na maafisa wanaolinda usalama wake, kutoka kwenye chumba alimokuwa akiwahutubia waandishi wa habari ndani ya Ikulu mjini Washington, kufuatia kisa cha mtu kupigwa risasi karibu na ikulu hiyo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger