8/19/2020

Uchebe Agoma Kuzungumza na Shilole


Leo kwenye kupitia kipindi cha Mashasham ya Wasafi FM Uchebe alikataa kuzungumza na aliyekuwa mke wake Shilole baada ya kumpigia simu akiwa hewani.

Baada ya mtangazaji kumpigia uchebe alipokea ila alipotakiwa azungumze na shilole alisema kuwa hakuwa sehemu nzuri na alipoambiwa basi japo wasalimiane alikata simu.

Shilole alisema kuwa yeye ana tatizo lolote na aliyekuwa mume wake na kusema kuwa hata akikutana naye atamsalimia kwakuwa ameamua kuacha naye ili aishi maisha yake.

Shilole amefunguka leo ndani ya Masha msham na kusema kuwa mahusiano yake yote huwa anayaweka wazi na huwa yanajulikana kwa jamii nzima.

"Nimewahi kuwa na uhusiano na Nuhu Mziwanda pamoja na Uchebe na wengine wanaotajwa sio mimi na sijawahi kuwa tena na mtu mwingine" Shilole.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger