8/20/2020

Ujumbe wa Mwana FA baada ya kuteuliwa kugombea ubunge jimbo la Muheza TangaBaada ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na kamati yake kupitisha majina ya wagombe wa Ubunge, Udiwa na viti maalumu kupitia chama cha mapinduzi CCM hivi leo.

Baadhi ya wadau wa muziki wameteuliwa ambao ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva Mwana FA na meneja wa Diamond Platnumz Bbutale.


Baada ya uteuzi huo Mwana FA  ameandika ujumbe huu 

“Mungu ni mwema sana, Leo ni miongoni mwa zile siku chache, mimi nimeishiwa na sina la kusema, alama nyingine kuhusu ukubwa wa Mungu”HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger