Ukimuita Msichana Mwende Out Akaja na Marafiki zake Kadhaa Kukukomoa, Basi we Fanya Hili Kumfunza Adabu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ukimuita Msichana Mwende Out Akaja na Marafiki zake Kadhaa Kukukomoa, Basi we Fanya Hili Kumfunza Adabu
Mwanaume mwenzangu, ukimwita msichana kwa ajili ya mtoko akaja na rafiki zake ili akukomeshe. Wewe wajali sana wale rafiki zake piga nao story, waonyeshe picha zako kadha wa kadha.

Washirikishe masuala yako ya kiofisi wape namba zako zote za simu hadi ile ya mezani. Muda wa kuondoka wapatie nauli ya kutosha kisha waelekeze unapoishi wewe na ikibidi hata wanapoishi wazazi wako.

#Myfriend! Next time ukimuita ataogopa hata kuja na mkoba atahisi utaujali mkoba zaidi yake yaani atakuja kama alivyo.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad