8/06/2020

Unaambiwa P Daddy Ndio Producer Mkuu Album ya Burna Boy Ijayo

 

Star wa Muziki wa Nigeria @Burnaboygram anajiandaa kuileta album yake mpya "Twice as Tall" na ameweka wazi kuwa album hiyo itaandaliwa na mkongwe wa muziki nchini Marekani, Diddy.


Kwenye mahojiano na 'The New York Times' ameweka wazi kuwa Diddy ndio mpishi mkuu wa album hiyo akielezea kuwa album hiyo imerekodiwa kipindi ichi cha Corona hivyo iliwalazimu kuiandaa wakiwa sehemu tofauti, Ameweka wazi kuwa sauti ya Diddy itasikika kwenye baadhi ya ngoma na pia amechangia kuongeza wakali wengine kama Anderson Paak na Timbaland.


Burna Boy pia ameweka wazi tarehe ambayo ataiachia album hiyo, Tarehe 14 Augosti na itakuwa na mikwaju 15 akiwa amewashirikisha wakali wengine kama Naughty by Nature, Sauti Sol, Youssou N’Dour, Chris Martin na wengine

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger