8/08/2020

"Unampenda Diamond" Mashabiki wamwambia Zari baada ya kutoa maoni kwa ujumbe wa Diamond


Mwanawe msanii wa bongo Diamond Platnumz na mwanabiashara Zari Hassan, Princess Tiffah alifikisha miaka mitano mnamo tarehe 6, Agosti, huku akisharehekea siku yake ya kuzaliwa, Tiffaha alipokea jumbe za mahaba kutoka kwa wazazi wake na babu zake.

 Jambo kubwa ambalo lilikuwa la uangalifu sana ni maoni ya Zari ambayo alitoa kwenye ujumbe wa Diamond aliokuwa amemtumia Mwanawe Tiffah siku hiyo ya kipekee.

Ujumbe wake Diamond kwa mwanawe ulisoma,


“Happy birthday kwa mpenzi wangu wa maisha, maneno hayatoshi kueleza jinsi ninavyokupenda my Tee..@PRINCESS_TIFFAH ❤🌹❤.”

Zari alitoa maoni ya emojis ya mapenzi huku watanzania wengi wakifanya kuwa jambo kubwa na ujumbe huo kupokea majibu na maswali zaidi ya 250.

 Wengi walimwambia kuwa anampeza Diamond, huku wengine wakisema kuwa wamerudiana na wanapaswa kurudisha upendo wao kama awali kabla hawajaachana.


ericodrogba @zarithebosslady :you miss Diamond and it shows

aishakeji @ericodrogba: all of you can’t be stupid at the same time, so communicating and in peace with her baby daddy is equal to missing him,please mind your business or borrow some sense

dallotkimbe_ @zarithebosslady: bora Akuoe Mulee Watoto wenu

hadiah_hajji @zarithebosslady: hongera Mama tee umekuzaπŸ‘Œ

sexy-Zari-Hassan--696x418

official_malela @zarithebosslady :waambie watoto wamfollow baba yao

houseofbeautygirlstz_ @zarithebosslady: π»π‘œπ‘›π‘”π‘’π‘Ÿπ‘Ž 𝑀𝐴𝑀𝐴 𝑇𝐸𝐸 π‘˜π‘€π‘Ž π‘˜π‘’π‘šπ‘§π‘Žπ‘™π‘–π‘Ž π‘†π‘–π‘šπ‘π‘Ž π΅π‘’π‘Žπ‘’π‘‘π‘–π‘“π‘’π‘™ π‘˜π‘–π‘‘

nurdinmndeme @zarithebosslady: mama T . karibu Tanzania tena bhan

iameddie6 @zarithebosslady: wife to be welcome back madale we love youu😍😍😍😍😍😍😍😍😍

tatyanna_maldives @zarithebosslady: Zari be ready to be trolled by baby daddy circle of umbea 🀷🏾‍♀️
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger