8/11/2020

Usiyoyajua kumhusu Bushman, utajiri wake, ufukara, hajui pesa wala kuhesabu (+video)Leo August 10, 2020 ningependa tumfahamu nyota wa filamu ya “Gods must be crazy” ambaye jina lake kamili ni N!xau na ni maarufu duniani kwa jina la “Bushman”.

Huyu jamaa ni raia wa Namibia hakumbuki tarehe yake ya kuzaliwa na alifariki mnamo mwaka 2003, alikadiliwa kuwa amezaliwa mnamo mwaka 1943.

Miongoni mwa filamu alizoigiza ni The Gods Must Be Crazy, The Gods Must Be Crazy II, Kwacca Strikes Back, Crazy Safari, Crazy Hong Kong, The Gods Must be Funny in China, Sekai Ururun Taizaiki,

VIDEO:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger