8/21/2020

Uteuzi Mpya Uliofanywa Na Rais Magufuli Leo Ijumaa August 21Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amemteua Balozi John Kijazi kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). 


Balozi Kijazi ni Katibu Mkuu Kiongozi.

Uteuzi huu unaanza leo tarehe 21 Agosti, 2020.

  

Balozi Kijazi anachukua nafasi ya aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Hayati Benjamin Mkapa.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger