Uwezi Amini..Morrison Analindwa na Difenda Mbili za Polisi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



ULINZI mkubwa ulitawala jana kwenye Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), wakati kiungo mshambuliaji Mghana, Bernard Morrison akisubiria hukumu yake.


Hiyo ikiwa ni siku ya pili tangu kiungo huyo afikishwe kwenye Kamati ya Sheria na Hadhi za mkataba wa kuitumikia timu hiyo ndani ya jezi nyekundu


Hata hivyo, kulikuwa na ulinzi mkali sana baada ya difenda mbili zikiwa zimejaa askari kuingia eneo hilo ambapo moja ilidumu kwa muda mchache na kuondoka, Wachezaji ya TFF kutokana na matatizo yaliyoonekana kwenye mkataba wake na Yanga.


Awali ilielezwa kuwa Morrison alisaini mkataba wa miezi sita na timu hiyo, lakini wakati inaelezwa kuwa anaweza kujiunga na Simba, Yanga walisema kuwa wamempa mkataba wa miaka miwili.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad