8/17/2020

Video: Madam Rita aomba radhi mbele ya Waziri Mwakyembe, kisa fedha za Meshack wa BSSMuandaaji wa Mashindano ya BSS, Madam Rita mbele ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe ameomba radhi kwa kuchelewesha malipo ya Mshindi wa BSS mwaka 2019, Meshaki Fukuta. Madam Rita ameyasema hayo wakati akizindua msimu mpya wa shindano hilo la Bongo Star Search kwa msimu wa 11 ambapo Waziri Dkt Mwakyembe akiwa mgeni rasmi huku Meshaki Fukuta akiwa ni sehemu ya wasanii waliyopata nafasi ya kutoa burudani. VIDEO:
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Featured post

Tovuti bora zaidi ya utabiri wa Soka Tanzania inakutuza shati ya Alex Iwobi iliyotiwa sahihi.

Jiunge nasi ili uweze kuweka dau kama mtaalamu na kubeti Ligi ya England, La Liga, ikiwemo jackpot. Tunakupa habari za mpira wa miguu na ...

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger