8/27/2020

Viongozi wawiIi wa CHADEMA Geita watimkia CCM


Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), Wilaya ya Geita Focus Mpogomi pamoja na Mwenyekiti wa Vijana wa chama hicho kata ya Buhalahala Mjini Geita, wamejivua nyadhifa hizo ndani ya chama chao na kujiunga na chama cha Mapinduzi (CCM) kwa kile walichodai kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika za kuleta maendeleo nchini.Baadhi ya viongozi wa UVCCM Wilaya ya Geita chini ya Mwenyekiti wake Manjale Magambo wamesema wanafahamu mchango wa viongozi hao walipokuwa Chadema na kwamba kuondoka kwao katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Madiwani, Wabunge na Rais inamaana Chama Cha Mapinduzi kimelamba dume.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger