8/11/2020

Visa vya virusi vya corona vyapindukia milioni 20Idadi ya visa vilivyothibitishwa vya maambukizi ya virusi vya corona ulimwenguni imepindukia milioni 20. Idadi hii ni kulingana na chuo kikuu cha John Hopkins cha nchini Marekani. 

Miongoni mwa visa hivyo milioni 20, 001,019 vilivyorekodiwa kote ulimweguni na watafiti, zaidi ya milioni tano vimerekodiwa nchini Marekani, sawa na zaidi ya robo ya maambukizi jumla.Brazil na India zinafuatia kwa kuwa na idadi kubwa ya maambukizi ya kati ya milioni 3 na milioni 2.2


.Hadi jana Jumatatu zaidi ya watu 733,000 walikuwa wamefariki dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha maradhi ya COVID-19.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger