8/20/2020

Waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali kwenye CCM jumla walifika 43,461, tumevunja rekodi Afrika- JPM “Mkutano huu una Ajenda moja kubwa kufanya uteuzi wa Wagombe Ubunge na Uwakilishi kupitia CCM, zoezi la uteuzi lilianza mwezi mmoja uliopita, ambapo kwa msamiati maarufu wa siku hizi Ndugu Wajumbe walipiga kura za maoni kupendekeza majina ya Wagombea na tupo hapa kuwajadili”-JPM


“Waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali kwenye CCM jumla walifika 43,461, ni mafanikio makubwa sana kwa Chama chetu, hakuna Chama kingine ambacho wemejitokeza Watu zaidi ya Elfu 43 inawezekana tumevunja rekodi Afrika,hiki ni Chama Dume na Chama Jike pia”-JPM
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger