8/02/2020

Waziri Atimuliwa Kwa Kufanya Ngono Kwenye VideoRAIS  wa Zambia, Edgar Lungu, amemfukuza kazi Waziri wa Elimu nchini humo, David Mabumba, baada ya kuvuja kwa video ya ngono inayomuonyesha Mabumba ambaye yupo karantini akijamiiana na mwanamke kwa njia ya simu (video call), inadaiwa kuwa mwanamke huyo ni mke wa mtu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger