8/11/2020

Waziri Ummy Walimu Apewa Tuzo kwa jitihada za Kukabiliana na Corona


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan amemtunuku tuzo maalum Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu kwa kutambua mchango wake na kuwakilisha Wanawake vizuri katika majukumu yake.


Waziri Ummy amepewa tuzo hiyo wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) unaoendelea leo Tarehe 10 Agosti, 2020 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger