Waziri wa Sheria Lebanon Marie Claude Najm ajiuzulu Kisa Mlipuko

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri wa Sheria Lebanon Marie Claude Najm amejiuzulu leo Aug 10,2020 kufuatia maandamano yanayoendelea nchini humo baada ya mlipuko ulioua zaidi ya Watu 150 Bandari ya Beirut, anakua Waziri wa 3 kujiuzulu baada ya mlipuko, Waziri wa Habari na Waziri wa Mazingira nao wamejiuzulu.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad