google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Wema Sepetu alivyopatwa na rungu la wajumbe ‘Bora mimi walinipa kura 91, hawa 6 sijui mbili si ndio hatari (Video) | UDAKU SPECIAL

Wema Sepetu alivyopatwa na rungu la wajumbe ‘Bora mimi walinipa kura 91, hawa 6 sijui mbili si ndio hatari (Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Malkia wa filamu @wemasepetu amefunguka kuzungumzia sababu ya kutojitokeza kwenye kugombea Ubunge kwenye uchaguzi mkuu wa 2020 kama alivyojaribu mwaka 2015 na kuambulia kura 91.

Muigizaji huyo ambaye wiki iliyopita amepata dili la tamthilia yake ya Karma kuonyeshwa @dstvtanzania , alisema kwa sasa nguvu yake ameamua kuilekeza kwenye filamu zaidi kwa kuwa ni sehemu anaona anafanya vizuri zaidi.

Wema amesema yeye kwenye siasa alifika kwenye hatua nzuri kwa kupata kura 91 ingawa na yeye wajumbe walimuangusha.

 VIDEO:

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad