Wife Kaniroga Nikienda nje Haisimami, Ndani inasimama, Help Pls

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimekua na mgogoro mkubwa na wife wangu kwa Muda flani sasa, nisingependa kuutaja maana nilishautaja mgogoro huo hapa na tulishaufunga mjadala huo

Kutokana na huo mgogoro nikalazimika kutafuta farijiko pembeni, farijiko hilo ni staff mwenzangu kazini ambae alikua alikua historia ya mgogoro wangu

Mwanzo nilienda kujipumzisha tu kwa Muda ili kupata Muda Wa kupumua kuondoa stress lakini baadae nikanogewa nikawa nalala huko siku mbili hadi tatu ndo narudi home

Sijajua wife alitumia mbinu gani kumbaini mbaya wake, maana nilishangaa tu katia team kazini na kuanzisha varangati
Hata nyumbani kwa huo mchepuko sijui kapajuaje, nilistukia tu siku moja tumejipumzisha ndani akatia Tim pale na kuanzisha fujo akinitaka turudi nyumbani la sivyo pale pangegeuka Syria, ilikua ni aibu kubwa nikalazimika kutii na kuondoka nae

Tulipofika home nilikua na hasira sana nikamwambia hata afanyeje mm nitaendelea tu na yule mwanamke wangu apende asipende nae akanijibu kwamba tutaona nani mshindi, kwamba nikiendelea na huyo mwanamke nitaona kitachonipata

Kweli bana, nilikaa siku kadhaa bila kwenda, siku nilipoenda kwa mchepuko nikashangaa uume hausimami, tulijaribu kila namba lakini wapi
Kila siku tukawa tunajaribu bila mafanikio

Tulikua na siku nyingi hatujafanya mapenzi na wife kwa sababu ya ugomvi, cha kushangaza ghafla tu usiku akaanza kunitomasa na kunifanyia romance ya nguvu, huku akinibembeleza tudumishe ndoa yetu Mara tusimpe shetani nafasi sijui na blah blah nyingi hadi tukajuana bila shida

Kesho yake niliporudi kwa mchepuko haisimami tena, ndipo nikakumbuka ile kauli kwamba "" tutaona""
Tumejaribu na kujaribu na mchepuko wangu lakini wapi
Hadi umeenda sehem na kuambiwa ni wife wangu ndo amefanya vile so mtaalam kamwambia ni lazima niende nikatibiwe la sivyo nitakua sitembei na mwanamke mwingine yoyote yule zaidi ya wife na ikitokea tumeachana ndo balaa kabisa
Yaani ametengeneza dawa nisimamishe kwake tu

Lakini cha ajabu huyu mke wangu hujidai mtu Wa dini kwa kuimba mimba vijinyimbo vya kina rose mhando Muda wote

Wakuu mnanishaurije? Niende kwa huyo daktari Wa mchepuko wangu nikatibiwe?

Nimethibitisha kwamba ni mke wangu maana kawa mtu mwema sana kwangu tangu shida hii inipate, akifanya vyote tulivyokua tukifanya zamani mwanzo Wa ndoa

Nimetafuta binti mwingine kabisa ili nijaribishe ikawa vile vile niliporudi home mambo safi

Wakuu nahitaji msaada Wa haraka pls

Ugomvi wangu na wife uliotufikisha hapa hatukawahi kuumaliza na nilimtimua kurudi kwao ndipo akarudi kwa kufosi ndipo nikatafuta demu pembeni

Help pls
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mlale mama yako mzazi zindiko litaisha, trust me bro. Ila ukijaribu kuchepuka tena ujue ndio kifo chako heri umtaliki huyo demu aunze upya.

    ReplyDelete
  2. We mjinga kweli unakuwa kama hujafundwa na nyakanga, upuuzi wako wa nyumbani utaendaje kuuanika kwa watu baki tena binti! Kuwa mkweli wewe ni malaya na unatafuta sababu za kumuambukiza ukimwi mkeo, haya nenda zako ila umwacha salama aolewe na mwanaume aliye kamilifu.

    ReplyDelete
  3. Na bado kuna siku utakuta haipo kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad