8/11/2020

Yacoube Sogne asajiliwa rasmi yangaYACOUBA Sogne, raia wa Burkina Faso amemalizana na Yanga kwa ajili ya kutumikia kikosi hicho kilicho kwenye maboresho kwa ajili ya msimu wa 2020/21.

Nyota huyo ambaye alikuwa anakipiga Asente Kotoko ya Ghana amesaini dili la miaka miwili.


Sogne amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga ambacho anaamini ni njia yake ya kufikia mafanikio.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger