8/31/2020

Yanga 2-0 Aigle Noir Uwanja Wa Mkapa GlobalMECHI ya kirafiki imemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Aigle Noir ya Burundi Uwanja wa Taifa kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, bao limefungwa na Tuisila Kisinda dakika ya 38.

Bao la pili la pili limefungwa kupitia kwa Michael Sarpong dakika ya 59

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Weka Comment Yako Hapa Chini:
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Click Below to Subscribe

Popular Posts

Loading...

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger